miss jamii forum lini?

miss jamii forum lini?

Wewe hatukupi hata kwa dawa labda uende kwa kalumanzira
 
Kama wanapima michango utashindwa.
Labda kama wanapima accessibility. lol
 
Umesahau uzuri uko kwenye jicho la anayekutazama?
 
Kama wewe ni mzuri na unajiami basi hujazaliwa.

WAZURI HAWAJAZALIWA BADO.
 
Wazo lako zuri, weka avatar walau tuweze kuhusianisha na muonekano wako! Kura utapata mrembo!
 
Ohhh, baby umeshashinda. Kura yangu mi nakupaaaaa...
 
Wadada wa humu washaolewa wote sijui kama wanafaa kugombea umiss
 
Back
Top Bottom