Mambo ya dar live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya dar live

Discussion in 'Entertainment' started by Mzalendo Mkuu, Apr 29, 2012.

 1. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wapendwa, nipo Dar Live angalau kupunguza machungu ya ufisadi. Hapa mahali pazuri ila mambo yanaanza late. Tuliokuja na watoto wanakuwa hawana cha kufurahia. Wanahitaji kufanya marekebisho angalau kuwa TOTO DISCO.
   
 2. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hapa palivyo pa wazi, leo mvua yetu na jua letu.
   
 3. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Toto Disco imeanza saa nane hii na mambo sasa yanapendeza.
   
 4. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Baadaye mambo yalienda vema sama. Tulipata burudani tuko Undergrounds, mchiriku toka Manzese, bendi moja ina mzungu then wakaja Chuchu sound
   
 5. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ilipofika saa 12.45 jioni Helkopta ya Diamond ilitamba anga za Mbagala. Ilipiga mkwala ikapita hapo Dar live mara tatu hivi
   
 6. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  watu tulipagawa sana LAKINI hakushuka ukumbini kama ilivyotangazwa. Ukora? Hata hivyo alitua uwanja wa hapo karibu.
   
 7. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  saa 12.05 tukatangaziwa kuwa wenye watoto tuondoke muda wa watoto kuwa pale ulikuwa umekwisha. Tukaondoka bila ya kumuoma Diamond.
   
Loading...