Mtu mwenye uelewa/ufahamu/ujuzi na hivi vitu anisaidie tafadhali!


V

Visionmark

Senior Member
Joined
Nov 24, 2011
Messages
158
Likes
0
Points
0
V

Visionmark

Senior Member
Joined Nov 24, 2011
158 0 0
Wakuu, ni muda sasa nimekuwa nikihitaji sana & nikitaka kujua ni aina gani ya kamera ambazo zikitumika kwenye utengenezaji wa filamu picha zitatoka bomba na angalau kuwa na ule ubora wa kimataifa au unaokaribiana karibiana na hapo? Pia naombeni kama kuna mtu ambaye anaweza akawa na link zinazohusiana na mafundisho ya uongozaji, uandaaji wa filamu pamoja na uandishi wa scripts anisaidie. Naombeni sana mtu mwenye ufahamu khsiana na hivi anisaidie. Ahsanteni sana!
 

Forum statistics

Threads 1,274,226
Members 490,637
Posts 30,505,424