Jamani nisaidieni hizi nyimbo,,,,,,,,

Jamani nisaidieni hizi nyimbo,,,,,,,,

ngarambe

Senior Member
Joined
Apr 15, 2012
Posts
100
Reaction score
14
Napenda sana nyimbo za michael bolton na dolly parton na nimezidawnload tatizo sijui jinsi ya kufanya nipate nyimbo nzima kwa maandishi,,, nisaidieniiiiiiiii tafadhali
 
Ngoja kesho nitafute Kamusi ya Kiswahili iweze kunisaidia. Kuuliza si ujinga, eti MAANDASHI ndio nini?
Napenda sana nyimbo za michael bolton na dolly parton na nimezidawnload tatizo sijui jinsi ya kufanya nipate nyimbo nzima kwa maandashi,,, nisaidieniiiiiiiii tafadhali
 
Mtu mpole!! Namaanisha jinsi ya kuweza kupata nyimbo yote ikiwa imeandikwa mfano kuna threat hapo anaulizia nyimbo za break up kuna ambao wamechangia na kuweka nyimbo kwa maandishi mfano boys 11men, asward nk.... So nauliza wao wamezipata wapi cose sidhan km wameziandika kutoka kitabuni
 
Sun wu,, much respect mjomba!!!! Nakuongezea jina la star wu! Asante sana
 
Back
Top Bottom