Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

wana jamvi leo nawaletea ushirikiano maalum wa manguli wa muziki enzi hizo ZAIRE ya MOBUTU SESE SEKO NKUKU NGBENDU WA ZA BANGA uitwao NGUNGI(mbu) amboa kiufupi wimbo huu ni kisa cha kweli ambacho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unakumbuka kumbi za burudani enzi hizo... 1.lang'ata 2.mboe 3.vision 4.ymca 5.vijana kinondoni endeleaa tupia hapa........
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Muziki wa Hip hop hauwezi kuwa mtamu pasipo kuwa na chorus nzuri. Mwenye wimbo anaweza kuamua kuimba mwenyewe chorus ama kutafuta msaniii mwingine atakayemuimbia chorus ya kuvutia. Mchango wa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hatimaye mmoja wa wachezaji wa soka wanaolipwa pesa nyingi zaidi kutoka Afrika, Kolo Toure wa Manchester City ameisaliti rasmi kambi ya makapela. Defender huyo raia wa Ivory Coast amemuona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
50 Cent was involved in a car accident along the Long Island Expressway in New York City. His SUV was rear-ended by a Mack truck that lost control early Monday morning. Both 50 and the driver of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimebahatika kutana na songi lao wanaliita Piga simu liko hot n mbaya Diva ft Diamond - Piga Simu | Muziki.net
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kuna movie flan inahusu train(treni) ambayo inatembea mwendo mkali bila dereva so wanahangaika kuisimamisha, niliiona kitambo jina nimesahau anaejua anitajie jina la hyo movie......!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu dogo nani anamvishaga pamba jamani? anakera
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazee wadai kamtumia sms na email kumwambia yanga ni maskini na wanashindwa kuwalipa wachezaji na makocha wao. Kawekwa kitimito ajijetea hausiki katika hilo
0 Reactions
7 Replies
5K Views
1 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa kamshirikisha Ben Paul katika Nipokee, nipe maoni ukiusikiliza Chidi Benz ft Ben Paul - Nipokee | Muziki.net
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Unakumbuka ma -dj wakali enzi hizo.... 1.dj jerry koto 2.dj young millionea 3.dj chriss fabi (the lover) 4.dj deo zullu 5.dj kali kali 6.dj mangapiii 7.dj ali koko endelea tupia hapa ma-dj wa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Jana katika kipindi cha kusikiliza mapendekezo ya bajeti Waziri wa Fedha alisema kazi za wasanii zitapitia kwenye mikono ya TRA hii ni hatua kubwa sana ya kuwaingiza hawa wasanii wetu kwenye wigo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenye ufahamu wa source ya free christian movies
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Wadau naomba msaada wa jina la wimbo ambao ferooz ameshirikishwa wa zamani kidogo wa bongofleva ambao una vipande hivi "ningeweza ningeomba wazazi wangu warudishwe duniani...."...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kuna scandal kwamba huu wimbo wa Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net umekua sampled kutoka moja ya nyimbo za mwanadada mJamaica, sasa ingawa watu kibao hufanya hivyo ulaya na inakua...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Jamani huwa najisikia kinyefunyefu kila nikiusikia wimbo mpya wa mwanamuziki BEST NASSO, Narudi Kijijini. Kwa ufupi katika wimbo huo Best Nasso analalamika kuonewa na mpenzi wake wa kike na hivyo...
1 Reactions
4 Replies
15K Views
BAADA YA MADEE KUTOA SHUTUMA KWA DOGO JANJA, NAYE KAFUNGUKA Siku moja baada ya Dogo Janja kudaiwa kufukuzwa Tip Top Connection, ukweli halisi kuhusiana na uamuzi huo umewekwa wazi na yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…