Wandugu mm ni mpenz mkubwa sana wa movie hii movie nimejaribu kuitafuta but sijaipata kama kuna mdau anajua jinsi ya kuidownload for free anilekeze link jaman naomba msaada.
Watch a man age 12 years in 8 minutes (VIDEO)By Eric Pfeiffer, Yahoo! News
Reporter
Posts
RSS
By Eric Pfeiffer, Yahoo! News | The Sideshow 15 hrs ago
Noah Kalina has been posting a...
"The Green Mile"has died while being hospitalized following a july heart attack.
From Clarke's fiance Omorosa Manigault saying the 54-years old actor died monday morning in a Los Angeles hospital...
Habari wanajamvi na wapenzi wa filamu, nina nia ya kutengeneza filamu ya kipelelezi ila kuna vitu nahitaji kuvijua hasa vitengo vya usalama ndani Serikali, mfano ninajua kwamba kuna kitengo...
Kinaniuma sana. Kinakaa kinapigwa pigwa tu na kukaa kinafokewa fokewa ovyo ovyo tu kila mara bila sababu. Kwa mtizamo wangu hicho kipo kwa ajili ya kuburudisha na au kufundisha watoto. Mtoto...
Hapa Mwanza Clouds. Wanaendesha tamasha la Fiesta ambalo huwa linaruhusu hata watoto wadogo kuhudhuria.Lakini pamoja na kuruhusiwa lifanyike hadi saa 12 jioni lakini sasa hivi ni saa tatu usiku...
Rest in peace and thank you for the memories.
~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~**~*
Michael Clarke Duncan dead at 54: ‘The Green Mile' actor dies nearly two months after...
This' a chronicle of the decade-long hunt for al-Qaeda terrorist leader Osama bin Laden after the 9/11 attacks, and his death at the hands of the Navy SEAL Team 6 in May, 2011.
"Zero Dark...
salaaam wakuu, well mzeewaloliondo apart from providing kikombe pia in my leisure time i do music. am asking for your support by checking my track n give me your comments. check it here: Listen to...
Habari za hapa wanajanvi, Jana usiku nilipita mitaa flani nikasikia wimbo unapigwa redioni, nikausikiliza kwa makini hadi mwisho sikuweza kutambua jina la wimbo ila kidogo niliweza kushika baadhi...
Baba Mzazi Wa Mwanamuziki Diamond Aibuka-Soma ALICHOSEMA
BABA mzazi wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma Diamond, (pichani) Abdul Juma ameibuka ambapo mbali na...
Nichukue fursa hii kumpongeza Mh. makala, baada ya Sugu kukomaa na hii studio iliyotolewa na Rais kwa kikundi cha fleva unit kupelekwa baraza la sanaa ili kuwanufaisha wanamuziki wote serikali...
Maonesho ya vikaragosi yaliyoanzishwa na tar TV na kupewa jina la Pickaborn Puppet Show ni onesho zuri sana lililojaa ucheshi wa kweli. Wahusika wanatumia lafudhi za makabila mbalimbali hapa...
Baraza la sanaa tanzania BASATA limetoa tangazo hilo, kwenu wanajamv kama una kipaji cha kuimba nafasi ni yako.nchi 79 zinashiriki.wimbo uwe na malengo ya umoja huo wa afrika,caribian,na...
Black Eyed Peas rapper Will.i.am is hoping his latest track gets a giant leap up the charts after it is played for the first time on Mars.
Reach For The Stars will be broadcast live from the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.