Je ni Bongo Star Search au Ritta's cash search?

Je ni Bongo Star Search au Ritta's cash search?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Je ni "BSS" au "RCS" - Rita Cash Search? Kama ni BSS wako wapi hao "mastaa"
waliowasearch miaka ya nyuma? Mbona "vijistaa" vyote vinavyotamba nchini havijapitia
BSS?
 
watu wote wako aftah cashh.
Hata Rita mwenyewe hana nia ya dhati ya kukuza vipaji ila tu kula hela ya wadhamini
 
hakuna creativity pale coz hii bss amecopy na kupest tusker project fame ya nairoba kwa kenyata
 
Angalau anawagawia kiasi kinachoeleweka. Jamani wajasiliamali wangapi wanafanya biashara ya kugawia wengine? Wapeleka U Swiss Mbona wala wenyewe?
 
Mara ya mwisho kuangalia hii makitu ni kipindi kile cha akina kala jeremiah, toka hapo sipendezwi kuangalia, kwanza kipindi hakina maadili, salama anatoa lugha chafu kama amezaliwa chooni. Kwa kifupi hakuna cha staa hapo. Ni mambo ya kusaka ngawira tu!
 
Vyote hata kina lil wayne, eminem na wasanii wote unaowajua wewe label zao zinaingiza pesa ndefu sana kuliko wao katika kazi yao utakuta mapato ya lil wayne katika asilimia mia moja zaidi ya asilimia hamsini zinaenda kwenye label yake zinazobaki ndio zake so kuwa mpole ndio karata za maisha zinavyokwenda
 
Je ni "BSS" au "RCS" - Rita Cash Search? Kama ni BSS wako wapi hao "mastaa"
waliowasearch miaka ya nyuma? Mbona "vijistaa" vyote vinavyotamba nchini havijapitia
BSS?
Nimepata barua kutoka kwa Peter Msechu, yah peter Msechu, na yuke rasta wa Arusha sema kaendekeza mademu na Bange Manfild
 
Hakuwa mshindi

kama unataka mshindi utalala hapo hapa 2nachoongelea ni kujadili hio ni BSS au RSS, sio kuangalia mshindi.
Na pia hao walioshiriki si wamesaidiwa na hiyo crew ya BSS?
 
mmh, kwa hiyo yeye hatakiwi kupata faida??
Hata wachungaji wanakula sadaka sembuse Rita?

Amethubutu, ameweza, anasonga
 
Back
Top Bottom