Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,348
Nimevumilia weeeh, yamenifika kooni
sasa!
You guys wa hiki kipindi mko poa, **** the fact that kipindi chenu ni copy n' paste ya Friday Night Live.
Kuna mambo yananikera, mfano Isakwisa kudai kuwa huwajui YP na Y Dash vizuri, what the hell unafanya kwenye industry sasa? Sijui ndio mashauzi au nini. Kama host wa kipindi huwajui wasanii unafanya nini sasa?
Kuna siku ulidai tena eti miaka ya 2000 hukuwa unafuatilia muziki wa bongo,
hatuendi hivyo. Au ndo ulitaka ujikute
mmarekani so u dont give a shit na
mambo za kibongo? Mimi ni sports
journalist, matukio mengi ya kimichezo yalitokea hata kabla sijazaliwa lakini nimejielimisha na naweza kuyatolea maelezo vizuri. Take your time kujifunza kuhusu unachofanya, sawa
mdogo wangu?
Last time ulikuwa unabishana na Niki II kuhusu Hip-Hop na Bongo Flavor, host unabishana na mgeni wako? Sijawahi kuona hii...
Mwisho ni huyo dada ma-swag, Lady nani sijui... Bila kupepesa wala kuuma maneno ni kuwa anakera huyo dada,
anakera, anakera na ANAKERA! For better or worse, angetafuta kitu kingine cha kufanya kuliko kuwa TV host. Show zimekuwa poa sana kipindi hiki ambacho hayupo, angeondoka mazima ingekuwa poa.
By the way, Nickson na Quisah mko sawa, mapungufu yenu
yanarekebishika kama mkiyafanyia kazi.
Holla,
Mphamvu!