Tamthilia maarufu na nzuri ya Shade of Sin. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamthilia maarufu na nzuri ya Shade of Sin.

Discussion in 'Entertainment' started by Kennedy, Sep 16, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  ITV kuanzia tarehe 25 mwezi huu watarusha tena tamthilia ya Kibrazil iitwayo SHADE OF SIN,kwaujumla wale waliopata kuiangalia ni nzuri sana. Katika tamthilia kuna majina maarufu Preta,Rai,Ton,Mr Edward,Mr Alphonce,Paco,Fabrinho na wengine wengi. Iliwahi kurushwa na kituo hicho miaka kadhaa iliyopita na kwasasa watarusha tena nadhani wale wapenzi wakae tayari.
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Itakuwa saa nane mchana na marudio jumamosi.
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Bahati mbaya sipendi marudio. Inarudiwa pia stve kwa wenye decoder
   
 4. amu

  amu JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,979
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Capital tv
  naipoenda sana sababu kuna sehemu inafurahisha esp sardinia family
  ha ha alvarado make up artist
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,347
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Ma mushka na familia yake kwakweli ni wazuri kwa nafasi zao,shukrani mkuu kwa kunisahihisha ni CAPITAL na si ITV
   
 6. B

  Bintikole Member

  #6
  Nov 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hello kwa kweli tamthilia hii ni nzuri sana kama kuna mwenye web add. ya episodes zote tafadhali aniandikie
   
 7. B

  Bintikole Member

  #7
  Nov 16, 2012
  Joined: Nov 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ile supu ya mamushka inaniacha hoi kweli maandalizi yake
   
Loading...