Koffi olomide azindua hotel yake

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Ameipa jina " VILLA DELPIRLO " likiwa ni jina la mwanae kipenzi ambae siku ya uzinduzi huo ilikua ni birtday yake,huu ni mfano wa kuigwa na wasanii wetu badala ya kubanana kwenye nyumba za kupanga sinza huku wakila bata na kutumi pesa vibaya,wanapopata mafanikio wakumbuke kufungua vitega uchumi ili hata wakipotea kimuziki kama mr nice wa sasa waendelee kula kuishi vizuri bila kuishi kwa kupiga mizinga na kubaki na stori enzi zngu nilipokua juu n.k. is not gonna help either!hongera koffi papa na delpiro morinho,papa na didistone pamoja na sean james,

 
Last edited by a moderator:
Huu ni uzio wa mjengo wake mzee mzima MM(MOPAO MOKONZI)...koffi charles Antoinne Olomide

552658_233484280111748_434658419_n.jpg
 
ah koffi kiboko toka enzi za musukusuku, andrade, miko na nyinginezo nyingi yupo juu sana!
 
Du huko kutakuwa na mahotel kweli si tu tumetoka kuona na ya Nonda Shabaan. Sema tu ni vita hawa jamaa ingetakiwa wawe mbali sana
 
Well said mkuu! Kwa hawa majanky we2 wa bongo hzi mambo bado xna, as dzain wanakumbukaga STAPE wkt music ishakwisha.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom