Mange Kimambi ndani ya bikini. Safi hiyo

Status
Not open for further replies.

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
IMG_5492.jpg

Then we went to Ocean drive for a lil' swim in the ocean.....i dont know why but the beach thing just aint for me....hahahahhahahayani i cant stand the sun on my skin for more than 10mins....yani leo nimeenda just because its not that hot anymore....

IMG_5493.jpg

Ok Kenzo come change....
IMG_5505.jpg

Nimecheka on instagram someone commented kwamba soon Kenzo will start carrying a gun to protect his hot mom....hahahahhahaha
IMG_5517.jpg

Thats a 3,500 USD 24 karat Gold chain on my waist so staki kugusana gusana na mtu maana tusije shikana mashati bure...hahahahahha
IMG_5527.jpg

Bongolicious vintage swim suit collection coming soon......CEO nishaanza mazoezi....hahahahha

IMG_5529.jpg

IMG_5546.jpg

With the love of my life.....Kenzoki

IMG_1732.jpg
IMG_5579.jpg

Hivi hamjiulizi leo imekuwaje mpaka nimepost my bikini photos?
well kazi ni kazi... Soon Bongolicious will launch a vintage swimsuit collection...sasa itabidi nianze kuzivaa na kupiga picha....

Since i posted these pics on instagram and fb i have been overwhelmed na emails, mnataka kujua how i got the body....STARVATION.........Mie sijui hata gym ipo corner gani, Dolphin on the other hand lives in the gym thats why her body is perfect........
 
mambo ya mbele hayao .. Bongo ukivaa hivo basi ni wanaona ajaaabu .
 
Washauri wako wanakudanganya dada yangu ww ni mbaya sana hufai kuvaa hivyo kwa kipi utafikiria Zena yule wa gazeti la sani duh hii hatari sana rudi ufute uchafu wako huku sio FB peleka huko huko uchafu huu!
 
Hahahahah mkuu hasira za nn? Hutaki kumwona selebreti wako...mwanamke bikini inahuuu.....
Washauri wako wanakudanganya dada yangu ww ni mbaya sana hufai kuvaa hivyo kwa kipi utafikiria Zena yule wa gazeti la sani duh hii hatari sana rudi ufute uchafu wako huku sio FB peleka huko huko uchafu huu!
 
Hahahahhaahaha! Mwache aendelee kuwarusha mashosti zake wa kibongo.. Wanakomaje!! Hahahhaha kaazi kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Washauri wako wanakudanganya dada yangu ww ni mbaya sana hufai kuvaa hivyo kwa kipi utafikiria Zena yule wa gazeti la sani duh hii hatari sana rudi ufute uchafu wako huku sio FB peleka huko huko uchafu huu!
Tatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.
155986_495263353841207_1507578066_n.jpg
 
Tatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.
155986_495263353841207_1507578066_n.jpg

kivipi mzee mbona ni kama havina uhusiano kabisa,nadhania umedandia treni tena ya mwakayembe kwa mbele
 
  • Thanks
Reactions: jyn
Tatizo la huyo Mavi Designer anataka kushindana na huyu Linda kitu ambacho anajisumbuwa bure nia sawa kichuguu kushindana na mlima Kilimanjaro.
155986_495263353841207_1507578066_n.jpg
kivipi mzee mbona ni kama havina uhusiano kabisa,nadhania umedandia treni tena ya mwakayembe kwa mbele,huyu si ni sawa na mamake kabia sasa huoni wako lig tofauti,huyu mshindanishe na wazee wenzie kina asha baraka,madame rita,shyrose bhanji n.k.kimange kitoto cha chuzi tu
 
Kwani hujaona ujumbe hapo juu!! Life start at 40 baby.......

Linda ana miaka 40 lakini ana mvuto kuliko huyo unayesema wewe ni kinda, wewe unadhani Oprah Winfrey pamoja na utu uzima wake utamfananisha na hao makahaba waliotumika sana kabla ya umri wao na kupoteza ladha kabisa!?
 
mh! pole ulikuwa hospital gani dada yangu..ikawaje uwe na mwili wa hivyo? dah umeharibu siku yangu coz I feel bad nikiona mtu kakonda namna hiyo..."samahani lakini"
 
DOLL I WANT YOUR BODY.........HOT HOT HOT HOT!!!! -maneno na picha kwa hisani ya mange kimambi wa blog ya dubai zamani siku hizi ya miami

I ain't no LESBO ila duh, Dolphine is hooooooooooot!!!!!!
Doll, umenipa moyo, kudadeki na mie napiga picha za 2 piece nawarushia humu u turn.....mtakodoaje macho sasa???? hahahhaa
She was in Kenya last week....Pics taken in Mombasa.....How glamorous is this one??? LOVE THE HAIR DOLL...
Baby got BACK.....AAAAAWWWWW......... DOLL DID I TELL YOU I MISS YOU LIKE CRAZYYYYYYY....................MY SISTER FROM ANOTHER MOTHER.....LOL
 
Kwani hujaona ujumbe hapo juu!! Life start at 40 baby.......

Linda ana miaka 40 lakini ana mvuto kuliko huyo unayesema wewe ni kinda, wewe unadhani Oprah Winfrey pamoja na utu uzima wake utamfananisha na hao makahaba waliotumika sana kabla ya umri wao na kupoteza ladha kabisa!?
ndo akashindane na wenzake kina shyrose na madam rita sio kuonea watoto
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom