Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wana Iringa, wapi nawezakukaa na kusukuma w'end yangu hapa Iringa tawn? Nimefika nikauliza wenyeji wakaniambia niende New Life bar. Nipo hapa ila cjapapenda. Wapi pamechangamka na pazuri?
0 Reactions
13 Replies
6K Views
kuch kuch hota hai Kal ho naa ho
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Tujulicheni tunaotumia vingamuzi vya TING(agape tv) ni wiki ya tatu sasa hatuoni channel za ITV NA STAR TV .kuna tatizo gani,na huu sio ungwana tujulisheni mbona ada yenu tunalipa pia channel...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kuchoka kuangalia ma-Cadillac, na AK-47 na Movie ambazo hazina uhalisia na Bongo, na kuwakumbuka watunzi mashuhuri kama Agoro Anduru (Temptations, Bed of Roses na This is Living..) na...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Tazama hii picha ya msanii Diamond katika ukurasa wa nyuma wa gazeti la leo la ''nipashe'',he is very muscular. Ilivyoandikwa'' picha imetolewa kwa ajili ya kutangaza wimbo wake mpya''.is there a...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
jamani hebu nisaidieni hivi vile vibano kwenye miereka ni kweli au maigizo? Maana nasikiasikia kwamba wale wachezaji wanazuga tu! Anayefahamu anisaidie..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zahir aliiga hii Les Grands Maquisards (Dalienst Ntesa) - Nalela Ndenge Nini (www.TAMBOURDAFRIQUE.com) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NEY WA MITEGO.. aliposema wanauza kwa LAKI 6 walimshambulia sana...mi nahic hata bure wanatoa... hebu mcheki Mgombea Ujumbe NEC CCM na huyu mmoja wa Prost..... MMOJA wa Bongo muvi.. WANANGOJEA...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Hi guys! May you please advice me on good means to become a good actor with success in Tanzania and world in general!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
www.radioOne.co.tz Safi sana mengi.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Hii redio inaitwa JAMBO RADIO GOLD na nyingine nyingi karibu dunia nzima nimekutana nazo baada ya kudownload hii proglam ya TUNE INN na kuinstall kwenye simu yangu ya Samsung.Nakula full burudani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Du nimekuwa naangaria mashindano ya vipaji vya kuimba maarufu kama bongo star search,kwa muda mrefu sasa.vijana wengi wanaoshiriki mashindano haya,huvunjika mioyo wanapokosa nafasi ya kusonga...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
www.facebook.com/AfricanTourism 1. The Serengeti, Northern Tanzania The Serengeti National Park offers the absolute classic African safari setting. The migration of millions of wildebeest and...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Mimi mpenzi sana wa kuangalia movie sijaelewa kama ni uzembe au hawajui. Movie nyingi za kibongo sio nzuri kabisa nikiangalia movie za nchi zingine ninaona kuna utofauti mkumbwa kabisa. Hivi...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mafans wa Iron Maiden ni vibao vipi vinakukuna, Mimi ni 1.When the wild wind blow
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Kaza Moyo - YouTube nimekumbuka nyimbo za TX Moshi William. RIP
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau wa JF wale mnaobeba mabox huko ughaibuni. Mnapokuwa mmechoka, jisikieni nyumbani kwa kufuatilia link hizi hapa chini:- 1. RFA: Radio Free Africa | Dullonet Tanzania 2. STAR TV LIVE...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bi Kidude KUBADILIKA ya sanaa kutoka katika hali ya ridhaa kulikuja baada ya serikali kuzindua sera mpya ya Utamaduni mwaka 1999, ambayo ndani yake inatoa dhamana kwa watu binafsi (wadau)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Live from the 2012 VMAsAlicia Keys' performance of "Girl on Fire" included appearances by Nicki Minaj and Gabby Douglas at the 2012 MTV Video Music Awards. 'Sparkle' Hollywood PremiereLast...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wapendwa,radio stesheni nchini zimekuwa nyingi mno,mnoooo hasa katika miji yetu mikubwa tz!je ipi iko poa kwa ajili ya taarifa,burudani n.k?mitaani kila napopita nasikia wame-tune in Clouds fm,je...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom