Salathiel m.
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 185
- 41
Hii muvi inaitwa CID,ni ya kibongo yani inakatisha sana tamaa hvi inamaana hua hawa jamaa hawaangalii kazi za wenzao wa nje? hadi nikaona aibu kwa maana wenzetu wa nchi zingine wakiona watatudharau sana,kwasababu kuna action zingine hata mtoto humdanganyi alafu hata continuety ni hovyo ingawa kabla haijatoka waliisifia nadhani ni kwakua kuna matumiz ya siraha ambazo walikua wanaonekana wanapigapiga kama ile michezo ya watoto na pisto za maji!! jifunzeni kwa kuangalia kaz za WENZENU WA NJE KAMA AMUWEZ ENDELEENI NA MUVI ZENU ZA MAPENZI!!!