Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
8,169
Reaction score
3,359
Wanajamvi leo ndiyo fainali za BSS 2012,

Naona ITV wapo live, karibuni tujazane yanajiri kwa wale walio mbali na TV zao.

Mpaka sasa wajaji wote watatu wamekwisha ingia ukumbini. Mshindi katika shindano hili atajinyakulia kitita cha Tshs 50,000,000.00.

Washiriki wa top five wanawania kitita hicho ni:;

1 .Nshoma
2. Nsami
3. Wababa
4. Salma
5. Walter

Updates;

Round ya pili ndiyo imeanza ambapo baadhi ya washiriki wawili wataenguliwa na kubakia watatu ambao ndiyo wataingia fainali.

Round ya pili imekwisha na washiriki wawili wanaenguliwa;

Mshiriki wa Kwanza kutoka ni Nshoma Nkwabi.
Mshiriki wa Pili kutoka ni Nsami Nkwabi.
Round ya Tatu ni;

Walter
Wababa
Salma

Jaji Salma anatoa mpya hapa, "anasema kama angekuwa anaruhusiwa kuondoka na Walter basi angeondoka naye"

Round ya Tatu imekwisha na mshindi anayetoka ni Wababa. Wababa is out now.

Fainali sasa ni;
Walter Vs Salma

The final is over and the winner for EBBS 2012 is
WALTER CHILAMBO.

Anakabidhiwa kitita cha Tshs 50,000,000.00. Hongera Walter hakika umepigana sana mapaka kufikia hapo ulipofikia.
 
everything about it is fake...!!!!

Isije kuwa kama mashindano ya Miss Tanzania MwanaFA ali tweet mshindi kuwa namba 26 na ikawa kama ilivyo tweet!!!! Kwa mtazamo wangu mashindano ya safari hii hayana mvuto kihivyo tofauti na yaliyopita hasa mwaka jana.
 
kenyan's wako mbali kwenye mambo mengi asee..... hawa jamaa hawako talented kabsaaaa......hawajui kuimba huo ndo ukweli

umesikia lean on me inavyoimbwa....? terrible...
 
Tatizo la wabongo hawapendi kusifia vya nyumbani, tayarisheni yenu tuone!
 
kenyan's wako mbali kwenye mambo mengi asee..... hawa jamaa hawako talented kabsaaaa......hawajui kuimba huo ndo ukweli

umesikia lean on me inavyoimbwa....? terrible...

Hatuwez sema hawajui kuimba, labda issue ya maandalizi! Vijana wana vipaji sema hawajaandaliwa. Isipokuwa watoto wa Mkwabi! Hawa wanaonyesha kabisa wako level zingine, kwamba mziki wanaujua!!
 
Hii fainali haina viwango kabisa labda ilitakiwa iwe ktk level ya Local government na si kitaifa. Tangu saa 4 ni longo longo za watangazaji naziona hakuna la maana.
 
Nsami Nkwabi anaimba na msanii Barnabas wimbo wake wa "Wrong Number" Wote kwa pamoja hawajaimba vizuri sana japokuwa Barnabas ni wimbo wake.
 
Mbona sioni watu jamani au viingilio vimekuwa vikubwa?
 
Hii fainali haina viwango kabisa labda ilitakiwa iwe ktk level ya Local government na si kitaifa. Tangu saa 4 ni longo longo za watangazaji naziona hakuna la maana.

Kweli MVUMBUZI haina mvuto.
 
Last edited by a moderator:
Nshoma anaimba na msanii Barnabas wimbo wake wa "Wrong Number" Wote kwa pamoja hawajaimba vizuri sana japokuwa Barnabas ni wimbo wake.

Hv kweli wanaimba nini hapa ni aibu tupu ni bora wangeweka CD tu iimbe kwani wimbo original wameuharibu
 
Huyu dogo Nsami kinachomwangusha ni kukauka kwa sauti! Ila kuimba anajua...
 
Nshuma anaimba wimbo wa "Sina muda huo" na Leila mke wa Mzee Yusuph.
 
Huyu dogo Nsami kinachomwangusha ni kukauka kwa sauti! Ila kuimba anajua...

Naona dada yake Misoji anamshangilia kweli kweli. Nadhani ukoo wao ndiyo walivyo vimbaumbau.
 
mara ya kwanza walivyokuwa wakiadvertise i thought mwaka huu ungekuwa wa kirevolution zaidi kumbe.....pole zao zantel
 
kenyan's wako mbali kwenye mambo mengi asee..... hawa jamaa hawako talented kabsaaaa......hawajui kuimba huo ndo ukweli

umesikia lean on me inavyoimbwa....? terrible...

Umeongea mkuu, mi nilitegemea stunning voices kwenye huo wimbo. Lakini wameuharibu kabisaa.
Pale kuanzia founder na wanaomfuata woote wanaangalia pesa tu ya udhamini, baaada ya hapo washiriki finished.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom