Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Je umewahi kutazama movies hizi? The tears of the sun, Diamonds, Cry in Freetown, Blood Diamond, Hizi, kwa mtazamo wangu zinaeneza fikra mbaya kwa dunia kuwa Waafrika hawawezi kuishi bila ya...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Music unaweza kukuweka kwenye mood wa haya majambozi yetu.This is my TOP 20 Marvin Gaye: Sexual Healing Marvin Gaye: Let's Get It On Barry White: Anything Serge Gainsbourg: Je T'aime Kings of...
7 Reactions
132 Replies
10K Views
Tokea nimeanza kuangalia video za Charlie Chaplin, sijzona anae mkaribia... Ebhana pamoja na kua chache zina audio, na ni zamani sana 1912 hivi.. ila hadi leo ni hot. Wewe unaona yupi bora?
0 Reactions
0 Replies
870 Views
KUNA MOVIE moja inaitwa Game,ya kijasusi,nimeikubali xana
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Do you know how others rate our local musician! this is just a piece of justification that there is a light at the end of the tunnel according to the Southafrican Microsoft portal' Joseph Haule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, October 23, 2012SIKU KAMA LEO: MANCHESTER CITY ILIVYOIDHALILISHA MAN UNITED OLD TRAFFORD KWA KUITANDIKA 6-1
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ukuhudhuria njoo hapa!! KITCHEN PARTY GALA..BI CHAU - YouTube http://www.youtube.com/watch?NR=1&v=6JUno6CDi9Q&feature=endscreen
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kijana kweli shujaa ..kasema wazi haoni wa kumtoa wala hakuna ambaye anaugovi naye wala ambaye anatatizo nae kwa hiyo kaamua jitaja mwenye kuwa atoke kuliko kuwa mnafiki..safi
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimekutana na hii picha ambapo huyu kijana wa Kizungu yuko anashangaa kuichunguza sanamu iliyochongwa kwa Aluminium ili agundue kama kuna chocgote. Uchunguzi mwingine huwa hauna tija jamani.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya wadau kuchangia changia picha hii, nitawaletea story na surprise fulani kwa wadau wa jamii forum. Sana sana kwa wale enzi za miaka ya 1980 mpaka 1990 hivi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niko mbele ya runinga yangu naangalia hili shindano lililopewa jina la Dume challenge....washiriki wanapimwa kuanzia michezo hadi uelewa wa mambo ya kawaida kabisa ambayo kwa washiriki wale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana jamii naomben sehem zenye burudan atown mfano swimming pools video games e.t.c
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari. Kwa wale wapenzi wa series ya Nikita Season 3 imeshatoka. Naomba kuwasilisha. Rogie.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwigizaji mwenye vituko vya aina yake Irene Uwoya, leo amesafari kwenda Moshi kumzika baba yake Mkubwa mbaye ndiye yule yule aliyekuwa padri wa harusi yake na Ndikumana. Soma Zaidi Wasanii wenzake...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naomba msaada link ambayo naweza ku-download bure legend of the seeker season 3 na Spartacus season 2 na kuendelea.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Ray c kaenda U.G kufanya show na wenzake kama Emedy na wengine.Duh! Chakustajabisha Ray C alikuwa tilalila balaaa,akaanza kutukana on stage mashabiki wakaanza kumrushia chupa ndipo walinzi...
0 Reactions
18 Replies
20K Views
Yes...! Celebs biographies,personal lives, interviews, news, events and more...EXCLUSIVELY!!! .Coming Soon.!! visit the website BongoMovies Official Website Like our facebook page BongoMovies...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwigizaji na mfanyabiasha na aliyewahi kuwa mwanamuziki Dotnata Poshi, amesema kwa sasa ameaokoka kabisa na kuamua kufungua kanisa kubwa lengo likiwa kuwashawishi wasanii wenzake kuachana na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom