..radio stesheni gani ya kusikiliza?

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,108
wapendwa,radio stesheni nchini zimekuwa nyingi mno,mnoooo hasa katika miji yetu mikubwa tz!je ipi iko poa kwa ajili ya taarifa,burudani n.k?mitaani kila napopita nasikia wame-tune in Clouds fm,je mimi ni wazamani nini maana huwa siisilizi hiyo radio!najua kutoka kwa nyie wadau nitapata sehemu sahihi kabisa,nawasilisha
 
Kwani we huwa unasikiliza redio stesheni ipi? Na unalazimishwa kuisikiliza au unaamua mwenyewe?
 
Kama ni taarifa,burudani n.k. huwezipata moja iliyo 'full' kwa yote hayo,kila moja ina aminika kwa kimoja au viwili,vyote ni ngum kidogo.
 
Sikiliza RADIO KHERI FM.binafsi Nimejifunza mengi hapo regardless imani ya dini nilonayo.
 
Upo wapi kwanza?..... namaanisha mkoa gani.

Kwahapa Arusha huwa watu wengi husikiliza East Africa pamoja na redio za hapa Arusha.
Kwa redio za dini watu wengi hupendelea Radio Safina na radio Maria.
 
ayaaaaa! bado unasikilza redio anyway itz yo choice...me hata muda sina, habari nyingi napata ktk mitandao kama vile BBC.com, VOA.com, ITV/twitter, na blogs za michuzi, globalpublishers, mwananchi, millardayo n.k ..ippmedia.com, mwananchi.com, JF yenyewe......Muziki u tube, Bongotalk, goodmusic, bestvideos.
 
Toa maelezo yanayojiitosheleza .... Burudani gani unataka maana kama mziki radio nying tz zinatoa...we una yako tu!!!!!

Its ney once again
 
Upo wapi kwanza?..... namaanisha mkoa gani.

Kwahapa Arusha huwa watu wengi husikiliza East Africa pamoja na redio za hapa Arusha.
Kwa redio za dini watu wengi hupendelea Radio Safina na radio Maria.

niko arusha,sawa
 
ayaaaaa! bado unasikilza redio anyway itz yo choice...me hata muda sina, habari nyingi napata ktk mitandao kama vile BBC.com, VOA.com, ITV/twitter, na blogs za michuzi, globalpublishers, mwananchi, millardayo n.k ..ippmedia.com, mwananchi.com, JF yenyewe......Muziki u tube, Bongotalk, goodmusic, bestvideos.

duh,kweli wewe uko mbele!!poa,ngoja nichek njia zako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom