Huyu ni Diamond au hii ni trick photography? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu ni Diamond au hii ni trick photography?

Discussion in 'Entertainment' started by Andrew Nyerere, Sep 14, 2012.

 1. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Tazama hii picha ya msanii Diamond katika ukurasa wa nyuma wa gazeti la leo la ''nipashe'',he is very muscular. Ilivyoandikwa'' picha imetolewa kwa ajili ya kutangaza wimbo wake mpya''.is there a suggestion kwamba picha hii ni ya kugushi? Sivyo hivi nilivyomuona Diamond katika nyimbo ya ''Nitarejea'' au ''Mawazo''. This must be what they call steroid abuse. Kweli nauliza seriously,not for lack of something to tweet.
   
 2. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  iko wapi picha?
   
 3. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Weka hiyo picha
   
 4. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpyuuuuuuuuuuuu!
   
 5. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Captain bana.......huishi maskhara? Mama yetu wa taifa hajambo?
   
 6. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Hata kwenye gazeti la michezo pia wamemuonesha MIE NILISTUKA SANA! yaani mkono kama wa shuwaziniga vile !
   
 7. araway

  araway JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 498
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  hapa nilipo gazeti la leo nalipata kesho so ikiwezekana jaribu kuweka hiyo picha tuende sambamba
   
 8. awp

  awp JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Andrew Nyerere samahani, hiyo picha ya avator yako huyo jamaa ni ndugu yako? nimefurahi kumuona coz nilifanya nae kazi sehemu fulani.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  au ni hiyo picha kuni avatar.
   
 10. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Mimi ni computer illiterate,siwezi kudownload ile picha. Ipo katika gazeti la nipashe ukurasa wa mwisho,nyuma.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  avatar yako mbona imekaa kizee sana mweeh,unatisha watoto wa fb humu
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,012
  Likes Received: 1,144
  Trophy Points: 280
  ...rudia kusoma kwenye bold ..kisha jiulize uko wapi..ni hayo tu...
   
 13. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  yapi mkuu?
   
 14. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  What is this asking about my face? I am sixty years old. If I look old that is just as it should be. Hapa umekwenda oof point,kwa sababu hii haihusiani na Diamond. Na ukienda off point ina maana hujui meditation. Ukienda off point ina maana hujui the first thing about meditation. Kwa sababu meditation is about sticking to the topic.
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Scan basi tukusaidie
   
 16. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Image0395.jpg Huyu Diamond,nani alikuwa anabisha.
   
 17. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #17
  Sep 15, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  kaacha kula ugali dagaa..siku izi anakula milo minne iliyo balanced..alafu anapiga sana mazoezi plus harufu ya noti,lazima atoke shavu.
   
 18. K

  Konya JF-Expert Member

  #18
  Sep 15, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  nilibahatika kupitia blogs tofauti tofauti na kuzikuta pics za huyu dogo including hii kwa nilivyoziona jamaa alijitolea kufanya mazoezi niaje
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Sep 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Andrew, hiyo wanaita picha duka, imechakachuliwa kwa ajili ya kuvutia masoko.
   
 20. Herry JM

  Herry JM Member

  #20
  Sep 15, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja na mazoezi, kiutaalam huwezi kuwa muscular so sudden undernormal body condition. It require sometime. Hiyo ni steroid use (steroid abuse). Dogo anapesa so he can buy and use it to become like that.
   
Loading...