Agape tv-channel zingine hazionekani

wizaga

Member
Nov 27, 2011
70
8
Tujulicheni tunaotumia vingamuzi vya TING(agape tv) ni wiki ya tatu sasa hatuoni channel za ITV NA STAR TV .kuna tatizo gani,na huu sio ungwana tujulisheni mbona ada yenu tunalipa pia channel zingine mnaongeza lini hizi ni kama cloudtv, mlimani efatha na hata zanzibar tvTUNAOMBA MTUJUZE
 
Back
Top Bottom