Kwanini movie nyingi za kibongo sio nzuri?

Kwanini movie nyingi za kibongo sio nzuri?

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,966
Mimi mpenzi sana wa kuangalia movie sijaelewa kama ni uzembe au hawajui. Movie nyingi za kibongo sio nzuri kabisa nikiangalia movie za nchi zingine ninaona kuna utofauti mkumbwa kabisa.
Hivi hawana vitendea kazi vyakueditia movie? unakuta stori zingine za kwenye movie yaani ni za hali ya chini kabisa nikimaanisha ukianza tu kuicheki unajua mwisho wake ni nini.

Erick Shigongo nadhani ana story nzuri sana je haziwezi kufanywa kuwa movie za series?
Ni mtazamo wangu tu katika kuboresha
 
Movie inaandaliwa wiki mbili itakuwa na uzuri gani! mimi wala huwa siziangalii kabisa.
 
Back
Top Bottom