Baa nzuri Iringa mjini

Baa nzuri Iringa mjini

Malolella

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
366
Reaction score
114
Wana Iringa, wapi nawezakukaa na kusukuma w'end yangu hapa Iringa tawn? Nimefika nikauliza wenyeji wakaniambia niende New Life bar. Nipo hapa ila cjapapenda. Wapi pamechangamka na pazuri?
 
Nenda kuna Bar moja inaitwa MIAMI pale karibu na keep left ya kuingia mjini,ukimuulizia mtu yeyote atakuonyesha
 
Nadhani kwa iRINGA VILABU VYA KOMONI NA ULANZI NDO MAARUFU SANA KULIKO BAR
 
Nenda kuna Bar moja inaitwa MIAMI pale karibu na keep left ya kuingia mjini,ukimuulizia mtu yeyote atakuonyesha

Mkuu Lunyasi heshima kwako. Nimefika hapa..aise ni pazuri na pamechangamka sana. Wahudumu wanajali na kuna mziki mzuri...me nipo chini naona wengine wanapanda juu. Kweli jf ndo kilak2.
 
Wana Iringa, wapi nawezakukaa na kusukuma w'end yangu hapa Iringa tawn? Nimefika nikauliza wenyeji wakaniambia niende New Life bar. Nipo hapa ila cjapapenda. Wapi pamechangamka na pazuri?
Tafuta mutu inaitwa Teamo. Yea anajua baa zote za Iringa na majina ya wahudumu wote.
 
Last edited by a moderator:
leo njoo ZAKHIA GROCERY...!kihesa moja hii tunazitiririsha tu
 
ila Iringa nakupenda bwana ni sehemu iliyotulia na wanyalukolo wangu woteee,ila ndo wanalewa
 
Back
Top Bottom