KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Hii redio inaitwa JAMBO RADIO GOLD na nyingine nyingi karibu dunia nzima nimekutana nazo baada ya kudownload hii proglam ya TUNE INN na kuinstall kwenye simu yangu ya Samsung.Nakula full burudani