Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

habari za kazi wakuu, nina shida na jina la romantic movie moja jina nimesahau ila naweza kuelezea kwa mtu atakayeweza kukumbuka naona aniambie ili niitafute. nilishawahi kuangalia mara moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hebu check hii video kama wewe unapenda kutengeneza beat. Huyu jamaa katisha na studio ya jikoni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wenzangu wapenzi wa muziki huu hasa 'gangsta rap' au g-funk kama wanavyoiita si jina geni Snoop Dogg na pia nadhani mnaikumbuka albam yake iliompa umaharufu mkubwa inaojulikana kama The...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
cc:georgeusmimi,malkia,mamayoy o,eiyer,measkron, Blessed,BAK, sr bachelorhttp://youtu.be/zIBsnuDpMuk?list=PL4A99669E7CB FD969
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nilitafuta sehemu yenye kichaka nikijificha,ule mwanga mkali wa gari ulizidi kukaribia mahali nilipokuwepo,niliomba sana ili wasiweze kuniona,maana sikujua lile gari lilikuwa ni la watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watch Bollywood Movie Love in Jungle Full Length Movie on you tube with HD quality
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Msanii wa Bongoflava ambae amerudi kwa nguvu sana katika tasnia hiyo Leo katika mechi ya mpira wa miguu kati ya Bongo Flava na Bongo Movie iliyochezwa katika "Tamasha la Matumaini" lililofanyika...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
wanandugu zangu humu jf hamjambo? nimeipenda sana jf maana hata kama una mawazo ukiingia tu humu tayari unakuwa kama umekunywa tu bia kadhaa twa kuchangamsha akili,wajameni mie nimejiunga majuzi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu nimekutana na ngoma hii #Komaa Isikilize au kuishusha hapa hapa JF
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Mie binafsi napenda sana kuwashkuru AZAM Tv kwa kurusha Live Tamasha la Matumaini. Ni matangazo ya ubora wa hali ya juu sana. Mechi zimeisha Za Bongo movie na maswahiba zao,wabunge wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau ningependa kupata idea inakuaje movie inavuja online kabla ya kuachiwa rasmi. Hii inatokana na movie ya the expendables 3 kuvuja ikiwa zimebaki wiki 3 ili itoke rasmi. Pia kwa wapenda...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtangazaji wa kipindi cha The Colbert Report, Stephen Colbert jana amempa shavu waziri mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda wakati akikikosoa kitabu cha mke wa rais wa zamani wa Marekani, Hillary...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wote hawa ni Maproducer wakubwa ni moja ya mapeoducer wa Mwanzo kabisa walionza na mziki wa bongo fleva wote hawa wana mchango mkubwa katika kuku kwa mziki wa bongo fleva Master Jay akitokea...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Licha ya kuwa ni radio yenye kuchukiwa na wengi kwenye mitandao ya kijamii Radio Clouds Fm ya Tanzania imeingia kwenye Top 20 ya radio bora Africa. Source...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
TrendyAfrica Magazine President Barack Obama and First Lady Michelle Obama greet with H.E. Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda, and his daughter. By Dami Odetola for Trendy...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wadau wa movies, Kama kuna anayefahamu spy movies au ant terrorist movies mpya zilizotoka kati ya May -August 2014 anifahamishe tafadhali. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hata kama kumbeba au kujikomba mpunguze, kila siku mara 4 au 5 mnaweka nyimbo ya linah 'ole themba' na diamond 'mdogo mdogo'.......Wengine je?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni tukio ambalo kamwe sitalisahau katika maisha yangu. Mke wangu Maria Benard, umenivumilia kwa mambo mengi sana kiasi kwamba a fake wife can't stand those episodes. Wewe ni mrembo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi karibuni takribani mwaka huu wote hadi tulipo leo TBC1 na Komedi ya Masanja, Choti etc haina mvuto kabisa kwa watazamaji kiasi cha watu kukimbilia EATV kule kwa bambo ambao wanaonekana kuziba...
1 Reactions
94 Replies
16K Views
Wakuu, navutiwa sana na hii soundtrack inayotumika kwenye kipindi cha BONGA STAR TV kama ambavyo unaweza kuisikia kwenye clip hapo chini kuanzia 0:00 hadi 0:10. Naombeni msaada, kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Back
Top Bottom