Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,242
- 98,235
Wanajamvi,inasikitisha kabisa kuona muziki wa dansi umesahaulika na kusababisha kufa kabisa. Miaka ya 1980 tulikuwa na bendi nyingi na walipiga miziki mizuri yenye ujumbe murua kwa jamii, kama vile, Juwata jazz band, sikinde, Dar international, magereza jazz band, JKT kimbunga, nk. Tunajiuliza wizara ya utamaduni nini mnafanya?