Baraka255
Member
- Jun 25, 2014
- 73
- 14
click here Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube
Heri Muziki...Don't Judge me (Cover): Heri Muziki...Don't Judge me (Cover) - YouTube
Ukibonyeza hiyo link utakubaliana na mimi kwamba kijana mdogo kama huyu anasauti kali ya rnb. Huyu ni msanii mpya aliyopo chini ya management moja Bernard paul alimaharufu kama BEN POL.
Heri muziki mpaka sasa anatamba na kibao cha Nakukumbukaga ambacho kinafanya vizuri kwenye Radio station zote.
Click here kutazama hii cover aliyo imba kabla hajatoa nyimbo yake kisha tupia coment yako nami nitakudondoshea track yake kali ambayo siyo cover Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube