Serengeti Fiesta na Majanga waendako

Serengeti Fiesta na Majanga waendako

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi yakawaua askari wawili na kupora silaha, pia kuna familia moja imepata msiba mkubwa baada ya nyumba yao kuchomwa moto na kuua watoto watatu. Hii serengeti fiesta mmmhh....ni mtazamo wangu tu jamani
 
Je? Unataka kutuambia matukio mengine yote yanayoteka yanasababishwa na nn? Ni feista pia!!! Acha mawazo mgando japo ni mtazamo
 
nikweli hawa jamaa wameenda kutoa sadaka kule musoma....kafara yao nikubwa kuliko
 
Back
Top Bottom