Habar za majukum wadau, wakubwa wang samahan nahtaj msaada kwa anae faham kuhsu taratbu za kuintroduce ngoma mpya kwenye radio stations especially clouds fm, kama kunagharama yoyote au...
Habari zenu wanajamvi wenzangu. Leo nimeona nije na hili. Nataka kujua track ipi hapo juu inabamba sana kuanzia kiitikio,kughani na mashairi. Karibuni sana
Habari wajameni,nimekuwa nikifatilia tungo nyingi za wasanii wa bongo fleva na taarab,swali nnalojiuliza kila mwimba bongofleva ametendwa au ameachwa huku wenzao wa taarabu wao ni kuonewa...
Fiesta imeandaliwa chini ya uzamini wa bia ya Serengeti (SBL) na Kili Music Tour imedhaminiwa na bia ya
Kilimanjaro (TBL). Wote wanafanya kazi nzuri kwa wasanii wetu, na inawapa ajira na kipato...
Wakuu poleni na majukum ya kila siku.
Leo naona kila mmoja atueleze kibao cha bendi au mwanamuziki wa zamani kilivomuingia moyoni na ukiusikiliza wimbo huo unakumbuka nini
Mimi nakumbuka kibao...
Wapenzi wa burudani na wanazi wa tamasha la Burudani lililopewa Jina la Serengeti Fiesta linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kaitaba kesho ijumaa,wamepigwa na butwaa baada ya mastaa kibao...
kiukweli ukiniuliza msanii bora wa r&b basi huyu jamaa anafaanya vizuri sana, Tokea wimbo wa nikikupata, maneno maneno, waubani.. kama haujapata kusikiliza wimbo wake mpya wa Unanichora basi...
Kijana anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki hapa bongo diamond hivi sasa ukitaka kwenda kwenye show yake huna budi kumwaga miekundu mitano(50,000) hii ni bada ya kuweka ujumbe kupitia mtandao...
No.
Matches
Times
1
Rob Van Dam defeated Cesaro
8:05
2
Dolph Ziggler defeated The Miz
7:52
3
Paige defeated AJ Lee
4:57
4
Rusev (with Lana) defeated Jack Swagger...
kwa wapenzi woote wa music wa Diamond..kaa tayari kwa video ya wimbo mpya kabisa wa diamond..video inayorecodiwa nje kabisa ya Africa mashariki
kwa maandalizi yanayofanywa inatalajiwa kuwa aiana...
Wazima wana jamvi? Linapokuja swala la nyimbo za mapenzi wengi hutaja R'n'B na Pop kuwa ndo kuna nyimbo nzuri za mapenzi. Je umeshasikiliza nyimbo za hawa watu kwenye muziki wa country?
Je...
Msanii R.O.M.A mkatoliki a.k.a Ninja amedondosha bonge la track kwa jina la Maumivu akimshirikisha msanii Bob Junior na ndie producer wa wimbo huu toka sharobaro Record. Wimbo umetambulishwa siku...
"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara...
Wanajamii naomba msaada mnipe link ya kupakua hii series ya kikorea ya Swallow the sun ikiwa na english subtitle.
Maana nimetafuta bila ya mafanikio,nimeingia hadi kwenye torrents hola au unakuta...
Historia ya mwanamziki maarufu Diamond kabla hajafikia umaarufu wa sasa unaijua? Kama huijui isikilize hapa Mwanamziki Kide akiielezea kwa njia ya wimbo.
<br>
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.