Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,365
Wanajamvi,
kwa anayekumbuka muziki wa kina Pepe Kalle na Wenge Musica BCBG nadhani vibao hivi viwili vitamsuza roho, pia Kwa Pepe Kalle anakaribia kutimiza miaka 16 tangu afariki. Sio mbaya tukikumbuka enzi za vigogo hawa
1. Tuanze na Wenge BCBG - Sikiliza nyuzi bin nyuzi bila compyuta
2. Mzee mzima Pepe Kalle (huyu bwana alifariki akiwa kijana-47 yrs : 1951-1998)

Last edited by a moderator: