Jinsi movie za hollywood zinavyotengenezwa na kile Africa/Tanzania inaweza fanya

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Movie yoyote lazima ipitie hatua tano:

1. Development: Hapa ni hatua ya kwanza: Uvumbuzi wa wazo/kisa, ununuzi wa hakimiliki ya idea, Uandishi wa Script na pia pia lazima ijulikane pesa za kuwezesha shughuli zitapatikana wapi.

2. Pre-production: Maandalizi ya kushoot yanaanza kufanyika, waigizaji wanakodiwa na location zinawekewa booking.

3. Production: Shooting

4. Post-production: Hapa ni eding ya clips/footages, photographies, sounds na visual effects, vyote vinawekwa pamoja.

5. Distribution: Movie inatoka, inasambazwa na kuanza kuonyeshwa.

Sasa namba 1,2,3 na 5 Africa, East Africa na Tanzania kwa ujumla zinaweza japo pia ubora hauzingatiwi, yaani mambo yanapelekwa kienyeji, kikujuana ( hili ni mojawapo ya tatizo la kuona actors wale wale), pia unakuta movie au hatua hizi ni kazi jeshi la mtu mmoja! (hapa hatuwezi kulaumu kwasababu ufinyu wa bajeti/umaskini wetu unachangia).

Kwa ulaya, kampuni ya filamu au mhusika mkuu behind the project huwa mara nyingi anachukua mkopo benki, utambue kuwa % kubwa ya bajeti za movie za hollywood zinakuwaga funded na banks, halafu wanakuja kulipana baadae. Kibongo bongo tutasubiri sana kwenye hatua hii, maana hao madirector/maprodyuza wenyewe CV zao hazieleweki na elimu upande wa film production haitolewi ipasavyo vyuoni, so wengi ni self-made.

Tuje kwenye kipengele namba 4: hatua ndio kuzungumkuti, na Hollywood ndo wameinvest hapa kuliko popote kwenye film production undustry. Eneo hili lina hitaji career kibao hap katikati:

Special Effects Artist - Kazi yake ni kutengeneza physical effects, yaweza kuwa ni puppet/kinyago kinachofanana na actor ili kitumike kwenye scenes ambazo actor hawezi kuigiza, mfano kukanyagwa na treni au kupigwa ngumi na robot

Motion Capture Actor - Kama movie itakuwa ni sci-fi au comic, huyu actor kazi yake ni kuigiza vitendo ambavyo digital actor (animated model) ambaye atavaa uhusika wa binadamu kwenye movie (Mf: Ghollum in 'Lord of the Rings' au yule sokwe King Kong kwenye movie ya King Kong)

Modeller: Huyu ni anaye model (kuchora na kuumba kidijitali kiumbe chochote mf: Ghollum in 'Lord of the Rings' au yule sokwe King Kong kwenye movie ya King Kong)

Animator: Huyu kazi yake ni kumpa uhai Model mf: Ghollum in 'Lord of the Rings' au yule sokwe King Kong kwenye movie ya King Kong), yaani atembee, aongee, na kuigiza kama vile mtu (actor ) wa kawaida angefanya.

Compositor: Kazi yake ni kumnyofoa actor aliyeigiza vitendo vya Model kwenye live action scene (footage/clip) na kumpachika Model mf: Ghollum in 'Lord of the Rings'. Pia kazi yake ni kufanya integration (yaani digital actor aonekane ni real ndani ya clip, aonekane ni kama vile alifanyiwa shooting).

Editor: Kazi yake ni kuzikata kata clips na kuzipangilia ili iwe ni stori, bila hatua hii hizo visual effects na special effects havina maana: I mean yote yanafanyika kwaajili ya kupamba stori, bila stori ya kueleweka behind the movie, umechemsha. Na ndio maana lazima uje na Movie Title a adabu. Hivi we ukiskia jina la movie linasema: After Earth, Terminator, Apocalypto, The Rise Of The Planet Of The Apes....hutaitafuta hii movie???

Bila kusahau, hawa pia wanahisishwa kwenye Post-Production ingawa sitawaelezea kwa leo: Graphics Design, Motion Graphics Designer, Visual Effect Artist, Sound Designer, Shader (kumpa kivuli Model seehmu za mwanga), Texture Artist (kumpa ngozi Model ili awe ni real person au mosnter) na Lighter (kudhibiti physics ya Model sehemu za mwanga).

HITIMISHO:
Sasa unaona hatua hiyo ni kubwa. Inahusisha Software nyingi, ila zinazotumika Hollywood na kwenye major studio za dunia kv: Columbia Pictures, WETA (waliotengeneza Lord Of The Rings, King Kong n.k.), MGM na kadhalika ni Autodesk Maya (hili ndo baba la mababa, hakuna program itakuja kupiku hii mpaka Yesu anarudi), 3DSMax, The Foundry Nuke, Zbrush na kidoooogo Adobe After Effects, Photoshop na Adobe Premiere au Final Cut.

Lakini hizi studio ziko mbele sana kiasi kwamba zinajiandikia program zao zenyewe, maana kuna idea zingine za movie zinahitaji science ingine ivumbuliwe. Mfano wa movie hizo ni I, Robot.....Avatar nk.

Cha ajabu, kuna unaweza kugrasp kidogo kwenye kila area, hivyo ukajikuta una kuwa jeshi la mtu mmoja la Hollyhood, na ndio sababu ya wingi wa short animated na short feature films zilizozagaa kwenye Youtube. Yaani unaweza.

Ajabu ingine ni kwamba hivi vitu hufundishwi, licha ya kuwa kuna vyuo vinatoa elimu husika katika kila kipengele, lakini to become the best ni lazima ujifunze na kufanya practice mwenywe, hollywood stars wote kuanzia editor, animator mpaka motion graphic designer ni self-taught. Kwahiyo chukulia hii kitu ni kama kipaji, huhitaji shule. Nitaelezea kwa upana hili siku nyingine.

Na Africa (hapa sizungumzii kampuni za ulaya zinazo kuja kufanyia movie Africa), nazumguzia Africa kama Waafrica na Tanzania kama Watanzania wenyewe, tunaweza kufanya hivi ila tunakabiriwa na changamoto ambazo ni mpaka ziondoke, au wawili watatu wajikusanye na kuvuta nguvu ndio wanaweza kufanya angalau Action Movie, yaani filamu isiyohusisha models (hasa wa liquid kv: maji, monster nk) na motion capture. Aina hii ya move ni kama Transporter au movie za Steven Seagal.

Changamoto zinazotukabili ni: hatuna assets, zinahitajika camera za adabu na super computers, nitachambua hili siku nyingine. Pia elimu...nina uhakika hakuna film prodyuza yeyote wa Bongo anayejua hata Interface ya Autodesk Maya inafananaje! Wengi movie zao wanatumia Pinnacle, Premiere pro, Final Cut, Sony Vegas na kidoooogo Adobe After Effects.

Pia sijui ni uvivu ama uzembe ama ndo hawana hata computer zenye uwezo wa kurender faster, kwasabau unakuta movie ina High Contrast, haina Color Correction yoyote au hata Visual Effects zozte za kuzugia, utadhani clips zimetolewa tu kwenye camera na kuwekwa kwenye computer, editor akafanya cutting, aka export! ETI TAYARI MOVIE!!!! zinaandikwa na credits za wahusika! au hivi vitu wanavijua sema computer zao hazina speed ya kurender vitu hivyo muhimu kwa kila commercial video ili kusudi tu watoe na kuuza movie mpya kila siku. Pia hata vitu vinavyotumiak ni vya kudownload kwenye Net, mfano Sounds Effects na Visual Effects za hapa na pale.

NDOTO ZANGU NI KUBADILISHA HII HALI, QUALITY NA TECHNOLOGY INAYOTUMIKA KWENYE FILM/VIDEO INDUSTRY YA TANZANIA, EAST AFRICA NA AFRICA KWA UJUMLA. NAFUNGUA KAMPUNI (LEGENDS MULTIMEDIA) KWA MADHUMINI HAYA. MUDA SI MREFU MTAANZA KUNIONA KAM VIDEO DIRECTOR KWENYE MUSIC VIDEOS ZA WASANII MBALI MABLI, LAKINI KWA SASA WACHA NISHER NA ADAMU JUMA WATESE KWA ZAMU.

MUNGU ANIJAALIE NEEMA...MAANA UWEZO, FAIR SKILLS NA JUHUDI YA KUTAFUTA CAPITAL NA ASSETS NINAVYO. PIA NAENDLEA KUJIFUNZA HIZO HIGH-END SOFTWARES MUDA SI MREFU NIANZE KUPRODUCE SCI-FI SHORT MOVIES ZITAKAZONISAIDIA KUPATA UFADHILI WA KUTENGENEZA FEATURE FILMS WITHIN TANZANIA. KWASASA NINA UWEZO WA KUPRODUCE ACTION MOVIE KAMA NIKIPEWA VIFAA (REASONABLE MAC COMPUTER, nipe tu hii.) HALAFU NIKABIDHI HD FOOTAGES.

NANI TUNAUNGANA KWENYE HII SAFARI?

Michael Ngusa
+255 769 356124
michaelngusa672@gmail.com
 
vizuri lakini watu wangu waliokosa maarifa sijui kama watasoma hii habari ndefu namna hii,na hili jukwaa nina uhakika sio mahali pake
 
Umeandika vyema sana mkuu, tatizo letu wabongo katika tasnia yetu ya bongo movie, mbali na vifaa duni, elimu inatusumbua sana ndugu yangu...

Nina jamaa yangu hivi, mbali na kwamba ana kipaji katika haya mambo, amepata fursa ya kwenda shule kabisa tena kwa ngazi ya shahada, sasa cha ajabu badala ya kuvumilia angalau aongeze elimu, kachukua hiyo ada nzima kadumbukiza kwenye movie.... imekata sasa! Kakosa shule, anahangaika na movie mpaka sasa.

Kuna siku tulienda location, ilikuwa Jmosi, nakwambia niliishia kubarizi tu, Camera 1, scen 15, betri 1, ikiisha ichajiwe..lol, fujo kibao..
 
Hongera sana udirector ni mzuri ila hapa bongo ni miyayusho nasubiri niende zangu Hollywood nikadirect avatar namba tatu
 
Mkuu naunga mkono ulichoandika kasoro hapo kwenye red, shule ni muhimu. Tatizo watu ukiwaambia shule wanadhani kwenda chuo na kukaa darasani. Kuna online courses, kuna workshops na seminars mbalimbali ambazo ukihudhuria unapata new ideas. Tangu movie industry (nina maana ya bongo movie) ianze hapa Tanzania sijawahi kusikia wanatasnia hiyo wakienda hata hapo Uganda tu kwenye Maisha Film Festival ambapo watu kibao toka Hollywood huja kufanya workshops kuhusu kila aspect ya film production.

Kuna Jamaa yangu mmoja amekuwa mhudhuriaji mzuri huko sasa hivi ni kichwa hatari kwenye directing na ameshatengeneza short films zake kama tatu hivi akazipeleka kwenye film festivals mbalimbali za Ulaya na Marekani na amekuwa akipata mialiko kwenda huko zinapokuwa zinaonyeshwa hivyo kumwezesha kupata ujuzi zaidi.
 
Halafu naomba niulize swali, vipi kuhusu yule JINI anayefuata sheria za usalama barabarani ili asigongwe na magari?
Umeandika vyema sana mkuu, tatizo letu wabongo katika tasnia yetu ya bongo movie, mbali na vifaa duni, elimu inatusumbua sana ndugu yangu...

Nina jamaa yangu hivi, mbali na kwamba ana kipaji katika haya mambo, amepata fursa ya kwenda shule kabisa tena kwa ngazi ya shahada, sasa cha ajabu badala ya kuvumilia angalau aongeze elimu, kachukua hiyo ada nzima kadumbukiza kwenye movie.... imekata sasa! Kakosa shule, anahangaika na movie mpaka sasa.

Kuna siku tulienda location, ilikuwa Jmosi, nakwambia niliishia kubarizi tu, Camera 1, scen 15, betri 1, ikiisha ichajiwe..lol, fujo kibao..
 
Aise mi movie za kibingo hua siangalii kabisa kutokana na ubovu wa picha audio na vingine vingi ulivovileleza ambavyo ma drector wengi wa tz hawalifanyi labda tupate watu kama wewe muibadilishe tupate filamu bora kama hollywood
 
Halafu naomba niulize swali, vipi kuhusu yule JINI anayefuata sheria za usalama barabarani ili asigongwe na magari?

Mkuu wewe ulitaka agongwe? lol.. majini nayo yana haki ya kula maisha!

Kiukweli ni kosa la technology... sisi ni waongeaji wakubwa sana, tunasingizia lugha ya kiingereza kuwa si yetu, still tunaitumia kwenye subtitles! Huu si unafiki mkubwa kabisa?

Bongo movie haina ukuzi! watu wale wale! mabadiliko hawataki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom