Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Kwa kipindi kerefu tumekuwa tunatamani kuwa na bendi za uhakika zenye kuweza kuburudisha na kuelimisha jamii. Hasa baada ya bendi nyingi kuchoka kutokana na kuzeeka kwa waimbaji wake, hatimaye tumepata bendi hii ya Yamoto! Kwa kweli naona wako vizuri na wemekubalika sana. Kila ninapopita mjini, kwenye dala dala, hata kwenye youtube, naona hawa jamaa wamepokelewa vizuri! Binafsi nimefurahishwa na ujio wao. Cha muhimu watulie, wapige kazi...​