Sikiliza na download wimbo mpya wa Ali Kiba - Mwana

Ali Kiba kwa vocals ni zaidi ya Diamond,vocal kali,mziki mzuri,nice instrument arrangement na kwa ufupi ni classic one japo kwa mbaali inafanana na dushelele!!!!
 
hatari sana..

"The only difference btn ordinary and extraordinary is that little Extra"
Haaaahaa that dude is ExtraOrdinary duh nimeipenda hii joint and that what we call "The Return of Ali Kiba" ni vitendo dhidi ya maneno,ila sijaipata kimasomaso kama utaweza iweke mkuu kama hii Mwana.
Salute kwa Combination Sound simply wamefanya poa sana kwenye mdundo,Bravo Man Walter.
This joint "Mwana" worthy a repeat mode kwa player device yangu.
 
"The only difference btn ordinary and extraordinary is that little Extra"
Haaaahaa that dude is ExtraOrdinary duh nimeipenda hii joint and that what we call "The Return of Ali Kiba" ni vitendo dhidi ya maneno,ila sijaipata kimasomaso kama utaweza iweke mkuu kama hii Mwana.
Salute kwa Combination Sound simply wamefanya poa sana kwenye mdundo,Bravo Man Walter.

Hii kimasomaso nadhani umeshawahi kuisikia,ni ya mda ila imerudiwa(reproduced) ndo maana sikuona umuhimu wa kui-upload ila hii #mwanaDSM jamaa kaua..

Kweli kuna kitu mziki unamiss bila kiba..
 
"The only difference btn ordinary and extraordinary is that little Extra"
Haaaahaa that dude is ExtraOrdinary duh nimeipenda hii joint and that what we call "The Return of Ali Kiba" ni vitendo dhidi ya maneno,ila sijaipata kimasomaso kama utaweza iweke mkuu kama hii Mwana.
Salute kwa Combination Sound simply wamefanya poa sana kwenye mdundo,Bravo Man Walter.

McDonaldJr

Hyo hapo Kimasomaso
 
Attachments

  • Alikiba-Kimasomaso.mp3
    3.4 MB · Views: 2,141
Last edited by a moderator:
Hivi karibuni ataachia nyimbo mfululizo,amerudi rasmi,hongera sana Kiba....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom