ngoma gani ya asili inabamba sana huko kwenu?

ngoma gani ya asili inabamba sana huko kwenu?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,012
leo nilikuwa eneo la uyole,mbeya. kulikuwa na ''tamasha'' la ngoma za asili. ngoma hizoma zimenikosha mno. nimeitambua ling'oma tu ambayo kiasili ni ngoma ya wanyakyusa. kutokana na ushamba sikuzitambua zingine. ili kutoana ushamba ningependa tujuzane ngoma zinazobamba huko kwenu (unaweza tueleza kidogo kuihusu.). inawezekana hutuzioni kwenye fiesta na kili tour sababu waandaaji hawazijui na sio kwamba watu hawazipendi.

fiesta mkija mbeya mualike walau kikundi kimoja cha ngoma.
DSC00477.JPG
 
Back
Top Bottom