Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,548
Hawa vijana wa yamoto band wana vipaji si mchezo. Nimezisikia nyimbo zao tatu, haina ubishi wapo vizuri. Kinachonivutia zaidi ni vijana wa umri mdogo kama wakiweka juhudi hivi hivi na wasipo bweteka nafikiri watafika mbali sana. Wasanii wengine wajipange na ushindani wa hawa vijana. Big Up vijana, vipaji vyenu ni ajira sahihi.