Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Show iliyofanywa na wakali wao modern taradance chini ya thabit abdul imeacha gumzo. Ilikuwa ni uzinduzi wa albamu yao mpya ya sioni thamani ya pendo.
Maelfu ya watu walihudhuria show hiyo ikisindikizwa na bendi nyingine za taarabu kama Jahazi modern taarab ya mzee Yussuf,na Ogopa Kopa Classic band modern taarab ya bi Khadija pamoja na waimbaji wengi wa taarab.
Wakali wao modern ilianza mwaka 2014 rasmi baada ya thabit abduli kuihama mashauz classic na kutokea kutoelewana na ishabendi hii inayokuja kwa kasi imeitikisa kwa kiasi kikubwa Mashauzi Classic ya Isha Mashauz ambayo kwa sasa anamuona Thabiti kama adui.
Mashauzi classic ambayo kwa sasa inapitia kigumu ikiweko cha kukimbiwa na wasanii pamoja na kukosa waimbaji wa kutosha inaiona wakali wao kama bendi inayowafanya kupata changamoto kubwa kutokana na ushawishi wa wakali wao kuongezeka na kuanza kuyumba kwa mashauzi.