Nimeanza upenda nyimbo za Justin Bieber

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Huyu dogo alikua akiimba tangaia 2011 lakini nilikua naona mzushi flani tu anayependwa tu na watoto wakike ma teenagers kutokana na mihemko.

Lakini siku hizi nyimbo zake zimenishawishi, na zipo kwenye playlist yangu, nyimbo kama Love Yourself na Sorry ni za viwango.

 
Wakati naanza kusoma post yako, niliwaza Love yourself itakuwa imekugusa. Ha ha ha. Kumbe nipo kwenye mstari
 
hata Mi nimeanza kumkubali pale kwenye sorry, mara ya kwanza nilipoambiwa huo wimbo wa bieber sikuamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom