Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wapi naweza kupata nyimbo zote za zamani za Zaire, TZ au Kenya, kama vile za Orchestra Lipua Lipua, Veve, na zingine za enzi hizo ili ni-download?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
naomba mwenye link ya wimbo wa sister p ft ney wa mitego-nani mkali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna wasanii zamani walivuma sana na kujulikana sana. Wapo wengi tu. Sijui wanajishughulisha na nini siku hizi? Kwa mfano watu kama kina AB Skillz, Bablee, Hakeem 5 na wengine wengi. Basi...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
mwenye kujua filamu yoyote ya hapa BONGO,..(Bongo movie) yenye viwango stahiki anitajie...haijalishi ni ya mwaka gani.. maana nilizozichek kadhaa kwa wiki hii ZIMEFELI KABISA kuakisi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eh yo shori, alidai mtoko NA MIMI!, Mradi aonekane kila chocho NA MIMI!, Club cinema, au beach coco NA MIMI!, Ili mradi tu nae karuka kopo NA MIMI!, Nikamwambia sina mkoko LAKINI?, Uko tayari...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Goma la #MakeMeSing limefanya vizuri miongoni mwa ngoma zinazovuma nchini South Africa. AKA's new video fires up internet Azizzar Mosupi | 25 February, 2016 00:46 Make Me Sing is currently on...
0 Reactions
114 Replies
13K Views
nyumba njaa, ukisinzia unapata zero dunia ya vichaa, mwehu ni chizi na pia ni hero.. King wa hip hop..
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Ukifuatiria utunzi wa mashairi kati ya hawa watu wawili utagundua kuwa diamond anafata taratibu zote za kiuandishi katika kuandika mashairi yake vina kati na mwisho... Lakini king kiba yy ni mkali...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni muda sasa nimekuwa nikimsikia huyu jamaa hasa katika upande wa kuchukiwa, watu wanalalamika anawanyonya, anatembea na watangazaji wa redio yake wa kike n.k. Juzijuzi hapa nikaja kumsikiliza...
3 Reactions
91 Replies
12K Views
Habari wakuu, Kuna rafiki yangu amenitonya kuwa Kajala Masanja atakuwa ni staa rasmi atakayefanya Special Appearance ktk shindano la Miss CBE pale Billz Posta Ijumaa ya kesho tarehe 26. Sasa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
“KIFO oooh kifoo, kifooo kifoooo, kifo hakina huruma!” Naam. Ndivyo alivyoimba marehemu Ramazan Mtoro Ongalla ‘Dk. Remmy’ wakati akiwa na bendi yake ya Super Matimila ‘Wana Bongo Beats’...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sikiliza mashairi ya nyimbo zao kisha tuone nani ni mkali. JUICY- NOTORIOUS B.I.G "Juicy" [Intro:] (---- all you hoes) Get a grip mother----er. Yeah, this album is dedicated to all the...
3 Reactions
51 Replies
20K Views
Kituo cha luninga cha StarTV huwa kina kipindi cha tamithiliya siku za jumanne na ijumaa kuanzia saa 3:30 - 4:30 usiku, jumamosi na jumapili kuanzia saa 3:00 -4:00 usiku. Mara nyingi hupendelea...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni wasanii wengi wameimba kuhusu Mama ndani na nje ya nchi, kibongobongo hizi nyimbo 2 za Mama ndizo zilizofanya/zilizowahi kufanya vizuri zaidi na zimetoka katika nyakati tofauti, je ni upi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari wana jf! Huyu ni msanii wa hapa hapa nchini Caroli Kinasha japo si msanii maarufu ila nyimbo zake nazikubali sana. Kwa aliye na wimbo uitwao 'Ni Pendo' wa Caroli Kinasha anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msanii alikiba akihojiwa juu ya kufanya kolabo na Daimond na majibu yake. kwa kweli inatia moyo kidogo. Najua one day bonge la ngoma litashushwa na history itaandikwa kama ikitokea Chib na Kiba...
1 Reactions
63 Replies
12K Views
TCRA imetoa taarifu kwenye mtandao wa twitter wakati ikijaribu kumuelewesha AY na mashabiki wenye dukuduku kuhusu uamuzi huo. Awali uamuzi wa TCRA ulitafsiliwa kuwa video hiyo yenye views...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Huu wimbo wa Beka Ibrozama kwa kweli ni wa "level" nyingine,unasikilizwa na kupigwa hata katika kumbi kubwa za miziki nje ya nchi.Juzi nilikuwa sehemu ukapigwa watu wengi walidhani itakuwa ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom