mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Jina la msanii simjui lakin ni kama mlemavu wa ngozi,jinsi unavyoibwa masela wangu ehe sina pamba za kupandia jukwaani nifanye nini au niache fani,mwenye kuujua au ambaye anao anitumie tafadhali
Ebwana ehe heshima kwako bro nimeupata shukrani sanaTMK Wanaume Family "Anashinda masaki halafu analala Tandika" .
Anaitwa Ras Six - Sina Pamba