Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
ahahaha kweli kabisa anameza sana sijui ndio elimu ya shule za katasio kila nguo ya kijani ni ccm
Hujui ukuu wa wilaya bado magu hajateua. Kuna wilaya ziko wazi mfano siha ya Antony mataka Na kino ya makonda hao wamepandishwa vyeo so wilaya ziko waziiii. Hao ni wawili niwajuao pengine Kuna wengine.View attachment 329753 Hii jezi ya ccm umevaa ya nini
Labda hivo nitakuelewaHujui ukuu wa wilaya bado magu hajateua. Kuna wilaya ziko wazi mfano siha ya Antony mataka Na kino ya makonda hao wamepandishwa vyeo so wilaya ziko waziiii. Hao ni wawili niwajuao pengine Kuna wengine.
mkuu changa la macho lileKuna huyu madam mwingine huku nyuma amejaaliwa
richie alipigia debe urais wa magufuli labda ndio ile jeziDuh!sio kila mwenye koti jeupe ni daktari wengine wakata nyama buchani.
huo sio mfumo ni ushamba au kujipedekezaAcha wivu kila mtu ana mfumo wake wa maisha, kila mtu ana utashi wake...kila mtu anachaguo lake. utakuwa ni ujinga sana kama utakuwa unampangia mtu mzima nini afanye au nini apendelee ni upuuzi
huo sio mfumo ni ushamba au kujipedekeza
Inawezekana mchina keshafanya yakemkuu changa la macho lile
Mzigo anao na juzi tu alikuwa mjamzito wakati akiwania Ubunge Singida hapo sijui nani kamuita kwa Makamu wa Rais tukisema wanalenga ukuu wa Wilaya watu wanakuja juuKuna huyu madam mwingine huku nyuma amejaaliwa