Natafuta huu wimbo wa Bongo fleva...

Natafuta huu wimbo wa Bongo fleva...

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,849
Reaction score
23,425
Ni wa miaka mingi kidogo lakini siukumbuki jina lake.Nakumbuka kati ya 2002 au 2004 ulikuwa unachezwa radioni tu, sana sana Clouds FM. Waimbaji wa wimbo huu ni yule dada wa kuitwa Keisha na mwenzie Bushoke (Keisha ft. Bushoke).
 
Asanteni Sana wadau, maana huu wimbo unanikumbusha safari yangu ya Ntwara, Masasi, Newala....
 
Back
Top Bottom