Abdul Misambano - Asu

Abu Haarith

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
314
165
habari wakuu wa JF kama kichwa kinavyojieleza hapo huo wimbo unaitwa ASU umeimbwa na band Inaitwa BABLOOM nimejaribu kutafuta mitandaoni nimeukosa mwenye nao anisaidie tafadhali

natanguliza shukrani
 
Aliyeimba ni misambano naye bado kijana, utasemaje wa zamani mno
habari wakuu wa JF kama kichwa kinavyojieleza hapo huo wimbo unaitwa ASU umeimbwa na band Inaitwa BABLOOM nimejaribu kutafuta mitandaoni nimeukosa mwenye nao anisaidie tafadhali

natanguliza shukrani
 
Kwenye simu yako google;old.hulkshare.com/mobile.....kisha ikifunguka search Asu-Misambano Abdul....utaipata,Aksante kwa kunishukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom