Msaada: Wimbo wa injili kwa mtindo wa Kwaitoo

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Wanajf mnaozijua nyimbo za injili na waimbaji wake naomba msaada.
Upo wimbo mmoja mzuri sana wa injili wenye mahadhi ya kwaito nahitaji kufahamu mtunzi wake na jina la wimbo
Baadhi ya maneno ninayokumbuka ni:Nikupe nini kwa upendo wako mkuu............. halafu kiitikio: alleluya alleluya......
Wimbo huu ukiusikia kwa haraka utadhani ni you are my number one ya Diamond Platinumz.Maneno yake ndio yatakustua kwamba ni wimbo wa injili
Ni nani aliyeimba na jina la wimbo ni nini?
Ntashukuru sana kwa msaada

avatar mpya kwa hisani ya friend wangu Amavubi.
 
Nami nautaka niujue...Kuna nyimbo nyingi za dini zinapigwa sana kwenye harusi.Yani midundo yake inavutia kuucheza bt majina yake sijui hata waimbaji.wekeni mnaojua
 
Nami nautaka niujue...Kuna nyimbo nyingi za dini zinapigwa sana kwenye harusi.Yani midundo yake inavutia kuucheza bt majina yake sijui hata waimbaji.wekeni mnaojua
Huo niliousema ni kwaito first class. Ukipigwa lazima ujisikie kunyanyuka na kucheza ile kwaito ya ndaaani!
 
PIA NA MIE NAOMBA MSAADA KUNA WIMBO WA INJILI SIFAHAMU NANI WAMEIMBA
ILA KUNA MANENO
MWISHONI YANASEMA
TWAKUSUJUDIA WEWE PEKEE
BWANA UINULIWEEE
TWAKUSUJUDIA WEWE PEKEE
BWANA UINULIWEEE
TWAKUSUJUDIA WEWE PEKEE
BWANA UINULIWEEE
 
Back
Top Bottom