Miziki ya zamani

Zinapatikana You Tube lakini zenye ubora unaokidhi haja ni za Matimila peke yake zingine karibu zote ni magumashi matupu sijue ni mtu gani kaziweka humo na sijui zilirekodiwa wapi.Ukitaka zote hizo zenye ubora unaweza kuzipata RTD kwao au kwenye banda lao la maonyesho saba saba tena karibu wataanza kuwa bize maana maonesho ya saba sabs yamekaribia.
 
Mimi nahitaji nyimbo ya kipindi cha mikingamo...."....sasa vita imetangazwa jamaa wananchi sote tuwe imara..."
 
Zinapatikana You Tube lakini zenye ubora unaokidhi haja ni za Matimila peke yake zingine karibu zote ni magumashi matupu sijue ni mtu gani kaziweka humo na sijui zilirekodiwa wapi.Ukitaka zote hizo zenye ubora unaweza kuzipata RTD kwao au kwenye banda lao la maonyesho saba saba tena karibu wataanza kuwa bize maana maonesho ya saba sabs yamekaribia.
THANX
 
Back
Top Bottom