Dogo Janja kacopy beat..

mnyaga1

Senior Member
Sep 24, 2014
184
101
Wimbo mpya wa dogo janja_my life... kumbe wameendeleza tabia ya kucopy beat na flow za wenzetu...
 
Huoni aibu kutetea ujinga?kwahiyo wewe unaona ni sawa ku copy beat? Ma producer wetu hawana uwezo ndio maana kazi yao ni ku copy tu.
Unaweza nitajia producer wa bongo alie andaa iyo bit? tuanzie hapo kisha nitarejea.
 
Unaweza nitajia producer wa bongo alie andaa iyo bit? tuanzie hapo kisha nitarejea.

Prodyuza aliyeandaa ngoma hiyo anaitwa Carl Hovind ni raia wa Norway ambaye amekuja Bongo kutafuta wasanii wa kuwatengenezea biti
 
Kwaiyo kumbe hakuna producer wa bongo aliye usika na shutuma hizi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom