Muziki wangu

Tupia Youtube ukiweka info wewe ni msanii toka Tanzania, jina lako, anuani za insta, twitter n.k simu namba.

Youtube ni buree na ukiweka info zote tajwa hapo juu unakuwa umejijengea wingo wa haki miliki kama wimbo utakuwa maarufu na mwisho utakuwa umeji-sponsor mwenyewe. Pengine kwa kuanza hiyo hatua ya mwanzo Youtube wanaweza kujitokeza sponsors na ma-meneja wa uhakika kukuinua zaidi lakini anza mwenye kwanza.
 
Asanteh!!!!
zipo youtube kwa jina JohnBrudda Tz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom