Mcheki Huyu Mama na Gitaa Lake

hahaaaa. Mimi nimemuona tu huyo jamaa wa pembeni anakunywa bia, nimemtamani
 
Mama wa watu ana kipaji. Ni bahati mbaya tu kwamba mazingira anayoishi yanaweza kuwa yameminya kipaji chake na hivyo kushindwa kukiendeleza na pia kufika mbali kimaslahi.
 
Dah! Nimemkubali sana. Ni leo tu nilikuwa najiuliza mbona kwenye band zetu sioni wanawake wakipiga vyombo. Au mbona hatuna producer wa kike.
 
Back
Top Bottom