Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,644
Ni kibao Wenze Ya Mizemba,wewe kama ni shabiki au mlevi wa bolingo laini basi ukiusikiliza au kuangalia video yao hawa jamaa wanavyobadirishana verse,pozi na madada walio na miguu saaaaafi wanavyokanyagia kwa pozi murua kabisa basi utajikuta unalala na headphones sikioni ukisahau kuzima simu yako hadi utakapokurupushwa na mawazo ya madeni usiku wa manane.