Movie "mtoto alipotea porini"

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,924
8,174
Wadau hii movie niliangalia zamani ila siikumbuki jina.

Kuna dogo Wa kiume alipotea porini na kule porini kulikuwa na dubu mmoja ndio alikuwa anamlinda. Baadae alikuja kuokolewa na helicopter ambapo wslimuona baada ya huyu DoGo kushika karatasi ya kun'gaa kama foil ambayo ikawa inaakisi mwanga mpaka kwenye helicopter ndipo wakamuona.

Walimpakia DoGo ndani ya helicopter na yule dubu wakamuweka kwenye mfuko kama gunia wakamnyanyua kwa kamba chini ya helicopter.

Naomba mnisaidie jina lake.
 
Mimi kuna movie siijui jina ila nakumbuka baadhi ya mambo,kuna watu walienda kutalii porin lkn mwisho wa siku wakaishia kuliwa na mbwa mwitu,mwenye kujua tafadhar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom