MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,035
- 64,850
Huyu jamaa kamfunika hadi Adele mwenyew, naomba hilo nikiri kabisa.
Hii hatari sasa, khaaaa.
Hangaiki kuimba kabisaa. Akikaa vizuri kimuziki huyu Jamaa ni level za Kina Mozart, Nina Simone na Whitney Houston.
Hapa Sam Smith kahangaishwa naye.
Hapa Leonard Cohen kapotezwa.
Mungu humpa kila mtu Chupa yake ya Mafuta.
Naamini watu kama hawa hata Bongo wapo sema ndiyo vile tunapenda mamidundo tu, mziki mingine tunaona ni Ukoloni.
It's okay kuimba Utamaduni ila ikumbukwe kwamba Good Music HAS NO RACE.
CC: MGuccI , Nando , toxic9 , Makendaa , Paulo Sergio De Souz , UncleBen , Kaboom , Upiversity , kui , Masunga Maziku , Dotworld