Watoto Uganda watengeneza video ya mwimbo wa Justin Beiber - Sorry

Mar 1, 2016
9
4
Watoto nchini Uganda wametengeneza video wakicheza nyimbo maarufu “Sorry” ya msanii Justin Bieber. Mwimbo huu umekuwa maarufu sana dunia nzima na watu wengi wametengeneza video tofauti tofauti kuendana na mwimbo huu, lakini dhumuni kubwa la hawa watoto huko Uganda kutengeneza video hii ni kuwa busy ili kuepukana na ukatili.

Hebu angalia watoto hawa wakionyesha maujuzi yao. Utashangaa mwenyewe!

Video iko hapa - "Sorry" ya Justin beiber Uganda - Vyro Newz
 
Back
Top Bottom