Audio: Papa Wemba - Chacun pour soi (feat. Diamond Platnumz)

Hongera sana Diamond Track kali sana,combination nzuri sana kama Papa Wemba angekuwa hai track ingempaisha sana Diamond Congo na West Africa
R.I.P Papa Wemba
 
diamond kinachomsaidia anabadilika badilika kama kinyonga..

hadi bolingo na rhumba anaenda nazo sawa
 
Still he can make it,papa wemba bado yupo kwenye mioyo ya wacongo so bdo diamond atapata advantage ya kupenya Congo west Africa even France......!!
 
Alianza kolabo na Davido=HIT
Kollabo na Hadija Kopa=HIT
Kolabo na AKA=HIT
Kolabo na AY=HIT
Kolabo na Papa Wemba=HIT
 
Still he can make it,papa wemba bado yupo kwenye mioyo ya wacongo so bdo diamond atapata advantage ya kupenya Congo west Africa even France......!!
Kama angekuwa hai ingekuwa rahisi Diamond kufanya onyesho pamoja na Papa Wemba ambayo ingembeba zaidi
 
Papaa pamoja na umri wote lakini sauti yake bado ni nzuri Sana. IPO clear kabisa. RIP PAPAA WEMBA.

Ngoma Kali japo ndo hatuelewi Kifaransa.
 
Back
Top Bottom