Hivi hizi biti za singeli zinatengezwa katika hizi studio zetu kubwa?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Kuna harus hapa mtaani kwetu wanapiga singeli hizo bit zina ujazo mkubwa sana ni balaa.

Nliangalia uswaz kipind cha zembwela uswaz kuna jamaa alikuwa anatengeneza bit sasa ukichek vifaa vilikuwa vya hovyo sana tofaut na nnachokisikia hapa nawasalisha.
 
Mtafute DJ mrisho au DJ nyango aka baba rukayya....ndo maprodyuza nguli Wa mambo hayo
 
Sasahivi wameanza kurekodia studio kubwa na maproduser wa bongo fleva.kama ile ya snura,sembe tembele ya sholo mwamba na hainaga ushemeji ya man fongo.quality ya nyimbo imekuwa nzuri
 
Kuna harus hapa mtaani kwetu wanapiga singeli hizo bit zina ujazo mkubwa sana ni balaa.

Nliangalia uswaz kipind cha zembwela uswaz kuna jamaa alikuwa anatengeneza bit sasa ukichek vifaa vilikuwa vya hovyo sana tofaut na nnachokisikia hapa nawasalisha.
Mkuu Studio ni Kama Kinyozi na Salon, beat haiitaji Uzuri wa studio, Computer yenye uwezo, sound card kubwa, software nzuri, plugg za maana, Monitor Speakers basi unatengeneza beat, producer mzuri hata asipokua na Monitor Speaker anaweza tengeneza beat za ujazo mkubwa, coz Anajua akiweka Kick ama Baseline kwa volume ya percentage let say 70 itakua strong enough, sema labda Vocal ndo inataka zaidi!
 
pamoja sana mkuu.
 
Sasahivi wameanza kurekodia studio kubwa na maproduser wa bongo fleva.kama ile ya snura,sembe tembele ya sholo mwamba na hainaga ushemeji ya man fongo.quality ya nyimbo imekuwa nzuri
Quality inakuwa nzuri ila ladha ya singeli inapptea. Singeli ni muziki unaotokana na madj
 
Nilianza kuvutiwa na singeli baada ya kusikia wimbo wa Singeli kutoka kwa Tanzanite akiwa na Dogo Niga.
 
Kuna iyo singeli mtoto WA mama shamte
Anaendea kuipigia kwa mafolisa sauz
 
Back
Top Bottom